Native Bible

John 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru.

John 1:8 in English

John 1:8 · Berean Standard Bible

He himself was not the Light, but he came to testify about the Light.

Context

6Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini. 8Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. 9Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni. 10Huyo Neno alikuwako ulimwenguni na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.