Native Bible

John 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.

John 1:6 in English

John 1:6 · Berean Standard Bible

There came a man who was sent from God. His name was John.

Context

4Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu. 5Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda. 6Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini. 8Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.