Yohana 1:4
John 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu.
John 1:4 in English
John 1:4 · Berean Standard Bible
In Him was life, and that life was the light of men.
Context
2Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu. 3Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa. 4Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu. 5Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda. 6Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.