Yohana 1:2
John 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu.
John 1:2 in English
John 1:2 · Berean Standard Bible
He was with God in the beginning.
Context
1Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu. 3Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa. 4Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.