Native Bible

John 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda.

John 1:5 in English

John 1:5 · Berean Standard Bible

The Light shines in the darkness, and the darkness has not overcome * it.

Context

3Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa. 4Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu. 5Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda. 6Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.