Yohana 1:9
John 1:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.
John 1:9 in English
John 1:9 · Berean Standard Bible
The true Light who gives light to every man was coming into the world.
Context
7Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini. 8Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. 9Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni. 10Huyo Neno alikuwako ulimwenguni na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua. 11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.