Native Bible

John 1:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.

John 1:11 in English

John 1:11 · Berean Standard Bible

He came to His own, and His own did not receive Him.

Context

9Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni. 10Huyo Neno alikuwako ulimwenguni na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua. 11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea. 12Bali wote waliompokea, aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake. 13Hawa ndio wasiozaliwa kwa damu, wala kwa mapenzi ya mwili au kwa mapenzi ya mtu, bali kwa mapenzi ya Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.