Native Bible

John 1:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yohana akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji,* lakini katikati yenu yupo mtu msiyemjua.

John 1:26 in English

John 1:26 · Berean Standard Bible

“I baptize with * water,” John replied, “but among you stands One you do not know.

Context

24Basi walikuwa wametumwa watu kutoka kwa Mafarisayo 25wakamuuliza, “Kama wewe si Kristo, wala si Eliya na wala si yule Nabii, kwa nini basi unabatiza?” 26Yohana akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji,* lakini katikati yenu yupo mtu msiyemjua. 27Yeye ajaye baada yangu, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.” 28Mambo haya yote yalitukia huko Bethania, ngʼambo ya Mto Yordani, mahali Yohana alipokuwa akibatiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.