Native Bible

John 1:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakamuuliza, “Kama wewe si Kristo, wala si Eliya na wala si yule Nabii, kwa nini basi unabatiza?”

John 1:25 in English

John 1:25 · Berean Standard Bible

asked him, “Why then do you baptize, if you are not the Christ, nor Elijah, nor the Prophet?”

Context

23Akawajibu kwa maneno ya nabii Isaya, akisema, “Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Yanyoosheni mapito ya Bwana.’ ” 24Basi walikuwa wametumwa watu kutoka kwa Mafarisayo 25wakamuuliza, “Kama wewe si Kristo, wala si Eliya na wala si yule Nabii, kwa nini basi unabatiza?” 26Yohana akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji,* lakini katikati yenu yupo mtu msiyemjua. 27Yeye ajaye baada yangu, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.