Native Bible

John 1:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi walikuwa wametumwa watu kutoka kwa Mafarisayo

John 1:24 in English

John 1:24 · Berean Standard Bible

Then the Pharisees who had been sent

Context

22Ndipo wakasema, “Basi tuambie wewe ni nani ili tupate jibu la kuwapelekea wale waliotutuma. Wewe wasemaje juu yako mwenyewe?” 23Akawajibu kwa maneno ya nabii Isaya, akisema, “Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Yanyoosheni mapito ya Bwana.’ ” 24Basi walikuwa wametumwa watu kutoka kwa Mafarisayo 25wakamuuliza, “Kama wewe si Kristo, wala si Eliya na wala si yule Nabii, kwa nini basi unabatiza?” 26Yohana akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji,* lakini katikati yenu yupo mtu msiyemjua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.