Yohana 1:22
John 1:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo wakasema, “Basi tuambie wewe ni nani ili tupate jibu la kuwapelekea wale waliotutuma. Wewe wasemaje juu yako mwenyewe?”
John 1:22 in English
John 1:22 · Berean Standard Bible
So they said to him, “Who are you? We need an answer for those who sent us. What do you say about yourself?”
Context
20Yohana alikiri waziwazi pasipo kuficha akasema, “Mimi si Kristo.”* 21Wakamuuliza, “Wewe ni nani basi? Je, wewe ni Eliya?”
Yeye akajibu, “Hapana, mimi siye.”
“Je, wewe ni yule Nabii?”
Akajibu, “Hapana.” 22Ndipo wakasema, “Basi tuambie wewe ni nani ili tupate jibu la kuwapelekea wale waliotutuma. Wewe wasemaje juu yako mwenyewe?” 23Akawajibu kwa maneno ya nabii Isaya, akisema, “Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Yanyoosheni mapito ya Bwana.’ ” 24Basi walikuwa wametumwa watu kutoka kwa Mafarisayo
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.