Yohana 1:27
John 1:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye ajaye baada yangu, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.”
John 1:27 in English
John 1:27 · Berean Standard Bible
He is the One who comes after me, the straps of whose sandals I am not worthy to untie.”
Context
25wakamuuliza, “Kama wewe si Kristo, wala si Eliya na wala si yule Nabii, kwa nini basi unabatiza?” 26Yohana akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji,* lakini katikati yenu yupo mtu msiyemjua. 27Yeye ajaye baada yangu, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.” 28Mambo haya yote yalitukia huko Bethania, ngʼambo ya Mto Yordani, mahali Yohana alipokuwa akibatiza. 29Siku iliyofuata, Yohana alimwona Yesu akimjia akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.