Native Bible

Jeremiah 5:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Jambo la kutisha na kushtusha limetokea katika nchi hii:

Jeremiah 5:30 in English

Jeremiah 5:30 · Berean Standard Bible

A horrible and shocking thing has happened in the land.

Context

28wamenenepa na kunawiri. Matendo yao maovu hayana kikomo; hawatetei mashauri ya yatima wapate kushinda, hawatetei haki za maskini. 29Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” asema Bwana. “Je, nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili? 30“Jambo la kutisha na kushtusha limetokea katika nchi hii: 31Manabii wanatabiri uongo, makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, nao watu wangu wanapenda hivyo. Lakini mtafanya nini mwisho wake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.