Native Bible

Jeremiah 5:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Manabii wanatabiri uongo, makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, nao watu wangu wanapenda hivyo. Lakini mtafanya nini mwisho wake?

Jeremiah 5:31 in English

Jeremiah 5:31 · Berean Standard Bible

The prophets prophesy falsely, and the priests rule by their own authority. My people love it so, but what will you do in the end?

Context

29Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” asema Bwana. “Je, nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili? 30“Jambo la kutisha na kushtusha limetokea katika nchi hii: 31Manabii wanatabiri uongo, makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, nao watu wangu wanapenda hivyo. Lakini mtafanya nini mwisho wake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.