Yeremia 5:29
Jeremiah 5:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” asema Bwana. “Je, nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili?
Jeremiah 5:29 in English
Jeremiah 5:29 · Berean Standard Bible
Should I not punish them for these things?” declares the LORD. “Should I not avenge Myself on such a nation as this?
Context
27Kama vitundu vilivyojaa ndege,
nyumba zao zimejaa udanganyifu;
wamekuwa matajiri na wenye nguvu, 28wamenenepa na kunawiri.
Matendo yao maovu hayana kikomo;
hawatetei mashauri ya yatima wapate kushinda,
hawatetei haki za maskini. 29Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?”
asema Bwana.
“Je, nisijilipizie kisasi
juu ya taifa kama hili? 30“Jambo la kutisha na kushtusha
limetokea katika nchi hii: 31Manabii wanatabiri uongo,
makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe,
nao watu wangu wanapenda hivyo.
Lakini mtafanya nini mwisho wake?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.