Native Bible

Jeremiah 5:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vitundu vilivyojaa ndege, nyumba zao zimejaa udanganyifu; wamekuwa matajiri na wenye nguvu,

Jeremiah 5:27 in English

Jeremiah 5:27 · Berean Standard Bible

Like cages full of birds, so their houses are full of deceit. Therefore they have become powerful and rich.

Context

25Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote, dhambi zenu zimewazuia msipate mema. 26“Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu wanaovizia kama watu wanaotega ndege, na kama wale wanaoweka mitego kuwakamata watu. 27Kama vitundu vilivyojaa ndege, nyumba zao zimejaa udanganyifu; wamekuwa matajiri na wenye nguvu, 28wamenenepa na kunawiri. Matendo yao maovu hayana kikomo; hawatetei mashauri ya yatima wapate kushinda, hawatetei haki za maskini. 29Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” asema Bwana. “Je, nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.