Yeremia 5:25
Jeremiah 5:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote, dhambi zenu zimewazuia msipate mema.
Jeremiah 5:25 in English
Jeremiah 5:25 · Berean Standard Bible
Your iniquities have diverted these from you; your sins have deprived you of My bounty.
Context
23Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi,
wamegeukia mbali na kwenda zao. 24Wao hawaambiani wenyewe,
‘Sisi na tumwogope Bwana Mungu wetu,
anayetupatia mvua za masika na za vuli kwa majira yake,
anayetuhakikishia majuma ya mavuno kwa utaratibu.’ 25Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote,
dhambi zenu zimewazuia msipate mema. 26“Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu
wanaovizia kama watu wanaotega ndege,
na kama wale wanaoweka mitego
kuwakamata watu. 27Kama vitundu vilivyojaa ndege,
nyumba zao zimejaa udanganyifu;
wamekuwa matajiri na wenye nguvu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.