Native Bible

Jeremiah 48:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanapanda kwenda njia ya kuelekea Luhithi, wakilia kwa uchungu wanapotembea, kwenye njia inayoshuka kwenda Horonaimu, kilio cha uchungu kwa ajili ya uharibifu kinasikika.

Jeremiah 48:5 in English

Jeremiah 48:5 · Berean Standard Bible

For on the ascent to Luhith they weep bitterly as they go, and on the descent to Horonaim cries of distress resound over the destruction:

Context

3Sikiliza kilio kutoka Horonaimu, kilio cha maangamizi makuu na uharibifu. 4Moabu utavunjwa, wadogo wake watapiga kelele. 5Wanapanda kwenda njia ya kuelekea Luhithi, wakilia kwa uchungu wanapotembea, kwenye njia inayoshuka kwenda Horonaimu, kilio cha uchungu kwa ajili ya uharibifu kinasikika. 6Kimbieni! Okoeni maisha yenu, kuweni kama kichaka jangwani. 7Kwa kuwa mmetumainia matendo yenu na mali zenu, ninyi pia mtachukuliwa mateka, naye Kemoshi* atakwenda uhamishoni, pamoja na makuhani wake na maafisa wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.