Native Bible

Jeremiah 48:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moabu utavunjwa, wadogo wake watapiga kelele.

Jeremiah 48:4 in English

Jeremiah 48:4 · Berean Standard Bible

Moab will be shattered; her little ones will cry out.*

Context

2Moabu haitasifiwa tena; huko Heshboni watu watafanya shauri baya la anguko lake: ‘Njooni na tuangamize taifa lile.’ Wewe nawe, ee Madmena, utanyamazishwa; upanga utakufuatia. 3Sikiliza kilio kutoka Horonaimu, kilio cha maangamizi makuu na uharibifu. 4Moabu utavunjwa, wadogo wake watapiga kelele. 5Wanapanda kwenda njia ya kuelekea Luhithi, wakilia kwa uchungu wanapotembea, kwenye njia inayoshuka kwenda Horonaimu, kilio cha uchungu kwa ajili ya uharibifu kinasikika. 6Kimbieni! Okoeni maisha yenu, kuweni kama kichaka jangwani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.