Yeremia 48:41
Jeremiah 48:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Miji itatekwa na ngome zake zitatwaliwa. Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Moabu itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa.
Jeremiah 48:41 in English
Jeremiah 48:41 · Berean Standard Bible
Kirioth has been taken, and the strongholds seized. In that day the heart of Moab’s warriors will be like the heart of a woman in labor.
Context
39“Tazama jinsi alivyovunjikavunjika!
Jinsi wanavyolia kwa huzuni!
Tazama jinsi Moabu anavyogeuka kwa aibu!
Moabu amekuwa kitu cha kudhihakiwa,
kitu cha kutisha kwa wale wote
wanaomzunguka.” 40Hili ndilo asemalo Bwana:
“Tazama! Tai anashuka chini,
akitanda mabawa yake juu ya Moabu. 41Miji itatekwa na ngome zake
zitatwaliwa.
Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Moabu
itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 42Moabu ataangamizwa kama taifa
kwa sababu amemdharau Bwana. 43Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea,
enyi watu wa Moabu,”
asema Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.