Native Bible

Jeremiah 25:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikia kilio cha wachungaji, maombolezo ya viongozi wa kundi, kwa maana Bwana anayaharibu malisho yao.

Jeremiah 25:36 in English

Jeremiah 25:36 · Berean Standard Bible

Hear the cry of the shepherds, the wailing of the leaders of the flock, for the LORD is destroying their pasture.

Context

34Lieni na kuomboleza, enyi wachungaji, mgaagae mavumbini, ninyi viongozi wa kundi. Kwa maana wakati wenu wa kuchinjwa umewadia; mtaanguka na kuvunjavunjwa kama vyombo vizuri vya udongo. 35Wachungaji hawatakuwa na mahali pa kukimbilia, viongozi wa kundi hawatapata mahali pa kutorokea. 36Sikia kilio cha wachungaji, maombolezo ya viongozi wa kundi, kwa maana Bwana anayaharibu malisho yao. 37Makao yao ya amani yataharibiwa kwa sababu ya hasira kali ya Bwana. 38Kama simba ataacha pango lake, nchi yao itakuwa ukiwa kwa sababu ya upanga wa mdhalimu, na kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.