Yeremia 25:38
Jeremiah 25:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama simba ataacha pango lake, nchi yao itakuwa ukiwa kwa sababu ya upanga wa mdhalimu, na kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mungu.
Jeremiah 25:38 in English
Jeremiah 25:38 · Berean Standard Bible
He has left His den like a lion, for their land has been made a desolation by the sword * of the oppressor, and because of the fierce anger of the LORD.
Context
36Sikia kilio cha wachungaji, maombolezo ya viongozi wa kundi,
kwa maana Bwana anayaharibu malisho yao. 37Makao yao ya amani yataharibiwa
kwa sababu ya hasira kali ya Bwana. 38Kama simba ataacha pango lake,
nchi yao itakuwa ukiwa
kwa sababu ya upanga wa mdhalimu,
na kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.