Native Bible

Jeremiah 22:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kamwe hamtarudi katika nchi mliyotamani kuirudia.”

Jeremiah 22:27 in English

Jeremiah 22:27 · Berean Standard Bible

You will never return to the land for which you long.”

Context

25Nitakutia mikononi mwa wale wanaotafuta uhai wako, wale unaowaogopa, yaani Nebukadneza mfalme wa Babeli na kwa Wakaldayo. 26Nitakutupa mbali wewe na mama aliyekuzaa mwende katika nchi nyingine, ambayo hakuna hata mmoja wenu aliyezaliwa huko, nanyi mtafia huko. 27Kamwe hamtarudi katika nchi mliyotamani kuirudia.” 28Je, huyu mtu Yekonia ni chungu kilichodharauliwa, chungu kilichovunjika, chombo kisichotakiwa na mtu yeyote? Kwa nini yeye na watoto wake watupwe nje kwa nguvu, na kutupwa kwenye nchi wasioijua? 29Ee nchi, nchi, nchi, sikia neno la Bwana!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.