Yeremia 10:17
Jeremiah 10:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kusanyeni mali na vitu vyenu mwondoke nchi hii, enyi mnaoishi katika hali ya kuzingirwa na jeshi.
Jeremiah 10:17 in English
Jeremiah 10:17 · Berean Standard Bible
Gather up your belongings from this land, you who live under siege.
Context
15Havifai kitu, ni vitu vya kufanyia mzaha tu,
hukumu yavyo itakapowadia, vitaangamia. 16Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo,
kwani ndiye Muumba wa vitu vyote,
pamoja na Israeli, kabila la urithi wake:
Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 17Kusanyeni mali na vitu vyenu mwondoke nchi hii,
enyi mnaoishi katika hali ya kuzingirwa na jeshi. 18Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana:
“Wakati huu, nitawatupa nje kwa nguvu
wote waishio katika nchi hii;
nitawataabisha
ili waweze kutekwa.” 19Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu!
Jeraha langu ni kubwa!
Lakini nilisema,
“Kweli hii ni adhabu yangu,
nami sharti niistahimili.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.