Native Bible

Judges 8:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi.

Judges 8:30 in English

Judges 8:30 · Berean Standard Bible

Gideon had seventy sons of his own,* since he had many wives.

Context

28Hivyo Midiani ikashindwa mbele ya Israeli nayo haikuinua kichwa chake tena. Wakati wa siku za uhai wa Gideoni, nchi ikafurahia amani miaka arobaini. 29Yerub-Baali mwana wa Yoashi akarudi kwenda kuishi katika nyumba yake. 30Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi. 31Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, ambaye alimwita Abimeleki. 32Gideoni mwana wa Yoashi akafa akiwa na umri mzuri wa uzee, na akazikwa katika kaburi la Yoashi baba yake huko Ofra ya Waabiezeri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.