Native Bible

Judges 8:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, ambaye alimwita Abimeleki.

Judges 8:31 in English

Judges 8:31 · Berean Standard Bible

His concubine, who dwelt in Shechem, also bore him a son, and he named him Abimelech.

Context

29Yerub-Baali mwana wa Yoashi akarudi kwenda kuishi katika nyumba yake. 30Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi. 31Suria wake, aliyekuwa anaishi huko Shekemu, pia alimzalia mwana, ambaye alimwita Abimeleki. 32Gideoni mwana wa Yoashi akafa akiwa na umri mzuri wa uzee, na akazikwa katika kaburi la Yoashi baba yake huko Ofra ya Waabiezeri. 33Mara tu alipofariki Gideoni, Waisraeli wakarudia hali ya uovu na kufanya uasherati kwa kuabudu Mabaali. Wakamsimamisha Baal-Berithi kuwa mungu wao na

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.