Native Bible

Isaiah 9:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaowaongoza watu hawa wanawapotosha, nao wale wanaoongozwa wamepotoka.

Isaiah 9:16 in English

Isaiah 9:16 · Berean Standard Bible

For those who guide this people mislead them, and those they mislead are swallowed up.

Context

14Kwa hiyo Bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, tawi la mtende na tete katika siku moja. 15Wazee na watu mashuhuri ndio vichwa, nao manabii wanaofundisha uongo ndio mkia. 16Wale wanaowaongoza watu hawa wanawapotosha, nao wale wanaoongozwa wamepotoka. 17Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana, wala hatawahurumia yatima na wajane, kwa kuwa kila mmoja wao hamchi Mungu, nao ni waovu, na kila kinywa kinanena upotovu. Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, mkono wake bado umeinuliwa juu. 18Hakika uovu huwaka kama moto; huteketeza michongoma na miiba, huwasha moto vichaka vya msituni, hujiviringisha kuelekea juu kama nguzo ya moshi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.