Native Bible

Isaiah 8:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitamngojea Bwana, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake.

Isaiah 8:17 in English

Isaiah 8:17 · Berean Standard Bible

I will wait for the LORD, who is hiding His face from the house of Jacob. I will put my trust in Him.*

Context

15Wengi wao watajikwaa; wataanguka na kuvunjika, watategwa na kunaswa.” 16Funga ushuhuda na kutia muhuri sheria miongoni mwa wanafunzi wangu. 17Nitamngojea Bwana, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake. 18Niko hapa, pamoja na watoto ambao Bwana amenipa. Sisi ni ishara na mfano wake katika Israeli, kutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayeishi juu ya Mlima Sayuni. 19Wakati watu wanapowaambia ninyi kutafuta ushauri kwa waaguzi na wenye kuongea na mizimu, ambao hunongʼona na kunungʼunika, je, watu wasingeuliza kwa Mungu wao? Kwa nini watake shauri kwa wafu kwa ajili ya walio hai?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.