Native Bible

Isaiah 8:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wengi wao watajikwaa; wataanguka na kuvunjika, watategwa na kunaswa.”

Isaiah 8:15 in English

Isaiah 8:15 · Berean Standard Bible

Many will stumble over these; they will fall and be broken; they will be ensnared and captured.”

Context

13Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye peke yake ikupasaye kumheshimu kuwa mtakatifu, ndiye peke yake utakayemwogopa, ndiye peke yake utakayemhofu, 14naye atakuwa mahali patakatifu; lakini kwa nyumba zote mbili za Israeli atakuwa jiwe lile linalosababisha watu kujikwaa na mwamba wa kuwaangusha. Kwa watu wa Yerusalemu, atakuwa mtego na tanzi. 15Wengi wao watajikwaa; wataanguka na kuvunjika, watategwa na kunaswa.” 16Funga ushuhuda na kutia muhuri sheria miongoni mwa wanafunzi wangu. 17Nitamngojea Bwana, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.