Native Bible

Isaiah 49:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama, watakuja kutoka mbali: wengine kutoka kaskazini, wengine kutoka magharibi, wengine kutoka nchi ya Sinimu.”*

Isaiah 49:12 in English

Isaiah 49:12 · Berean Standard Bible

Behold, they will come from far away, from the north and from the west,* and from the land of Aswan.*”

Context

10Hawataona njaa wala kuona kiu, wala hari ya jangwani au jua halitawapiga. Yeye mwenye huruma juu yao atawaonyesha njia, na kuwaongoza kando ya chemchemi za maji. 11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, na njia kuu zangu zitainuliwa. 12Tazama, watakuja kutoka mbali: wengine kutoka kaskazini, wengine kutoka magharibi, wengine kutoka nchi ya Sinimu.”* 13Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu; furahi, ee dunia; pazeni sauti kwa kuimba, enyi milima! Kwa maana Bwana anawafariji watu wake, naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa. 14Lakini Sayuni alisema, “Bwana ameniacha, Bwana amenisahau.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.