Native Bible

Isaiah 49:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, na njia kuu zangu zitainuliwa.

Isaiah 49:11 in English

Isaiah 49:11 · Berean Standard Bible

I will turn all My mountains into roads, and My highways will be raised up.

Context

9kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ “Watajilisha kando ya barabara na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu. 10Hawataona njaa wala kuona kiu, wala hari ya jangwani au jua halitawapiga. Yeye mwenye huruma juu yao atawaonyesha njia, na kuwaongoza kando ya chemchemi za maji. 11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, na njia kuu zangu zitainuliwa. 12Tazama, watakuja kutoka mbali: wengine kutoka kaskazini, wengine kutoka magharibi, wengine kutoka nchi ya Sinimu.”* 13Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu; furahi, ee dunia; pazeni sauti kwa kuimba, enyi milima! Kwa maana Bwana anawafariji watu wake, naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.