Isaya 43:20
Isaiah 43:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanyama wa mwituni wataniheshimu, mbweha na bundi, kwa sababu ninawapatia maji jangwani, na vijito katika nchi kame, ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua,
Isaiah 43:20 in English
Isaiah 43:20 · Berean Standard Bible
The beasts of the field will honor Me, the jackals * and the ostriches,* because I provide water in the wilderness and rivers in the desert, to give drink to My chosen people.
Context
18“Msiyakumbuke mambo yaliyopita,
wala msiyatafakari mambo ya zamani. 19Tazama, nitafanya jambo jipya!
Sasa litachipuka, je, hamtalitambua?
Nitafanya njia jangwani
na vijito vya maji katika nchi kame. 20Wanyama wa mwituni wataniheshimu,
mbweha na bundi,
kwa sababu ninawapatia maji jangwani,
na vijito katika nchi kame,
ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua, 21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu,
ili wapate kutangaza sifa zangu. 22“Hata hivyo hukuniita mimi, ee Yakobo,
hujajitaabisha kwa ajili yangu, ee Israeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.