Native Bible

Isaiah 43:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, ili wapate kutangaza sifa zangu.

Isaiah 43:21 in English

Isaiah 43:21 · Berean Standard Bible

The people I formed for Myself will declare My praise.

Context

19Tazama, nitafanya jambo jipya! Sasa litachipuka, je, hamtalitambua? Nitafanya njia jangwani na vijito vya maji katika nchi kame. 20Wanyama wa mwituni wataniheshimu, mbweha na bundi, kwa sababu ninawapatia maji jangwani, na vijito katika nchi kame, ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua, 21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, ili wapate kutangaza sifa zangu. 22“Hata hivyo hukuniita mimi, ee Yakobo, hujajitaabisha kwa ajili yangu, ee Israeli. 23Hujaniletea kondoo kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa, wala kuniheshimu kwa dhabihu zako. Sikukulemea kwa sadaka za nafaka wala kukuchosha kwa kuhitaji uvumba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.