Native Bible

Isaiah 43:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Msiyakumbuke mambo yaliyopita, wala msiyatafakari mambo ya zamani.

Isaiah 43:18 in English

Isaiah 43:18 · Berean Standard Bible

“Do not call to mind the former things; pay no attention to the things of old.

Context

16Hili ndilo asemalo Bwana, yeye aliyefanya njia baharini, mahali pa kupita kwenye maji mengi, 17aliyeyakokota magari ya vita na farasi, jeshi pamoja na askari wa msaada, nao wakalala huko, wala hawatainuka tena kamwe, wakakomeshwa, na wakazimika kama utambi: 18“Msiyakumbuke mambo yaliyopita, wala msiyatafakari mambo ya zamani. 19Tazama, nitafanya jambo jipya! Sasa litachipuka, je, hamtalitambua? Nitafanya njia jangwani na vijito vya maji katika nchi kame. 20Wanyama wa mwituni wataniheshimu, mbweha na bundi, kwa sababu ninawapatia maji jangwani, na vijito katika nchi kame, ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.