Isaya 41:28
Isaiah 41:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninatazama, lakini hakuna yeyote: hakuna yeyote miongoni mwao awezaye kutoa shauri, hakuna yeyote wa kutoa jibu wakati ninapowauliza.
Isaiah 41:28 in English
Isaiah 41:28 · Berean Standard Bible
When I look, there is no one; there is no counselor among them; when I ask them, they have nothing to say.
Context
26Ni nani aliyenena hili tokea mwanzoni, ili tupate kujua,
au kabla, ili tuweze kusema, ‘Alikuwa sawa’?
Hakuna aliyenena hili,
hakuna aliyetangulia kusema hili,
hakuna yeyote aliyesikia maneno kutoka kwenu. 27Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni,
‘Tazama, wako hapa!’
Nilimpa Yerusalemu mjumbe wa habari njema. 28Ninatazama, lakini hakuna yeyote:
hakuna yeyote miongoni mwao awezaye kutoa shauri,
hakuna yeyote wa kutoa jibu wakati ninapowauliza. 29Tazama, wote ni ubatili!
Matendo yao ni bure;
vinyago vyao ni upepo mtupu na machafuko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.