Native Bible

Isaiah 40:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu, yanaonekana yasio na thamani na zaidi ya bure kabisa.

Isaiah 40:17 in English

Isaiah 40:17 · Berean Standard Bible

All the nations are as nothing before Him; He regards them as nothingness and emptiness.

Context

15Hakika mataifa ni kama tone ndani ya ndoo, ni kama vumbi jembamba juu ya mizani, huvipima visiwa kana kwamba vilikuwa vumbi laini. 16Lebanoni hautoshi kwa moto wa madhabahuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa sadaka za kuteketezwa. 17Mbele yake mataifa yote ni kama si kitu, yanaonekana yasio na thamani na zaidi ya bure kabisa. 18Basi, utamlinganisha Mungu na nani? Utamlinganisha na kitu gani? 19Kwa habari ya sanamu, fundi huisubu, naye mfua dhahabu huifunika kwa dhahabu na kuitengenezea mikufu ya fedha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.