Native Bible

Isaiah 38:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maandiko ya Hezekia mfalme wa Yuda baada ya kuugua kwake na kupona:

Isaiah 38:9 in English

Isaiah 38:9 · Berean Standard Bible

This is a writing by Hezekiah king of Judah after his illness and recovery:

Context

7“ ‘Hii ndiyo ishara ya Bwana kwako ya kwamba Bwana atafanya kile alichoahidi: 8Nitafanya kivuli cha jua kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi kirudi nyuma madaraja kumi.’ ” Hivyo jua likarudi nyuma madaraja kumi ambayo lilikuwa limeshuka. 9Maandiko ya Hezekia mfalme wa Yuda baada ya kuugua kwake na kupona: 10Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, je, ni lazima nipite katika malango ya mauti,* na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?” 11Nilisema, “Sitamwona tena Bwana, Bwana katika nchi ya walio hai, wala sitamtazama tena mwanadamu, wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.