Isaya 38:8
Isaiah 38:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitafanya kivuli cha jua kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi kirudi nyuma madaraja kumi.’ ” Hivyo jua likarudi nyuma madaraja kumi ambayo lilikuwa limeshuka.
Isaiah 38:8 in English
Isaiah 38:8 · Berean Standard Bible
I will make the sun’s shadow that falls on the stairway of Ahaz go back ten steps.’” So the sunlight went back the ten steps it had descended.
Context
6Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu. 7“ ‘Hii ndiyo ishara ya Bwana kwako ya kwamba Bwana atafanya kile alichoahidi: 8Nitafanya kivuli cha jua kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi kirudi nyuma madaraja kumi.’ ” Hivyo jua likarudi nyuma madaraja kumi ambayo lilikuwa limeshuka. 9Maandiko ya Hezekia mfalme wa Yuda baada ya kuugua kwake na kupona: 10Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu,
je, ni lazima nipite katika malango ya mauti,*
na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.