Isaya 33:9
Isaiah 33:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ardhi inaomboleza* na kuchakaa, Lebanoni imeaibika na kunyauka, Sharoni ni kama Araba, nayo Bashani na Karmeli wanapukutisha majani yao.
Isaiah 33:9 in English
Isaiah 33:9 · Berean Standard Bible
The land mourns and languishes; Lebanon is ashamed and decayed. Sharon is like a desert; Bashan and Carmel shake off their leaves.
Context
7Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani,
wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. 8Njia kuu zimeachwa,
hakuna wasafiri barabarani.
Mkataba umevunjika,
mashahidi wake wamedharauliwa,*
hakuna yeyote anayeheshimiwa. 9Ardhi inaomboleza* na kuchakaa,
Lebanoni imeaibika na kunyauka,
Sharoni ni kama Araba,
nayo Bashani na Karmeli
wanapukutisha majani yao. 10“Sasa nitainuka,” asema Bwana.
“Sasa nitatukuzwa;
sasa nitainuliwa juu. 11Mlichukua mimba ya makapi,
mkazaa mabua,
pumzi yenu ni moto uwateketezao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.