Isaya 33:8
Isaiah 33:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Njia kuu zimeachwa, hakuna wasafiri barabarani. Mkataba umevunjika, mashahidi wake wamedharauliwa,* hakuna yeyote anayeheshimiwa.
Isaiah 33:8 in English
Isaiah 33:8 · Berean Standard Bible
The highways are deserted; travel has ceased. The treaty * has been broken, the witnesses * are despised, and human life is disregarded.
Context
6Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu,
ghala za wokovu tele, hekima na maarifa;
kumcha Bwana ni ufunguo wa hazina hii. 7Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani,
wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. 8Njia kuu zimeachwa,
hakuna wasafiri barabarani.
Mkataba umevunjika,
mashahidi wake wamedharauliwa,*
hakuna yeyote anayeheshimiwa. 9Ardhi inaomboleza* na kuchakaa,
Lebanoni imeaibika na kunyauka,
Sharoni ni kama Araba,
nayo Bashani na Karmeli
wanapukutisha majani yao. 10“Sasa nitainuka,” asema Bwana.
“Sasa nitatukuzwa;
sasa nitainuliwa juu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.