Isaya 33:11
Isaiah 33:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mlichukua mimba ya makapi, mkazaa mabua, pumzi yenu ni moto uwateketezao.
Isaiah 33:11 in English
Isaiah 33:11 · Berean Standard Bible
You conceive chaff; you give birth to stubble. Your breath is a fire that will consume you.
Context
9Ardhi inaomboleza* na kuchakaa,
Lebanoni imeaibika na kunyauka,
Sharoni ni kama Araba,
nayo Bashani na Karmeli
wanapukutisha majani yao. 10“Sasa nitainuka,” asema Bwana.
“Sasa nitatukuzwa;
sasa nitainuliwa juu. 11Mlichukua mimba ya makapi,
mkazaa mabua,
pumzi yenu ni moto uwateketezao. 12Mataifa yatachomwa kama ichomwavyo chokaa,
kama vichaka vya miiba vilivyokatwa ndivyo watakavyochomwa.” 13Ninyi mlio mbali sana, sikieni lile nililofanya;
ninyi mlio karibu, tambueni uweza wangu!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.