Isaya 3:19
Isaiah 3:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
vipuli, vikuku, shela,
Isaiah 3:19 in English
Isaiah 3:19 · Berean Standard Bible
their pendants, bracelets, and veils;
Context
17Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni;
Bwana atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.” 18Katika siku ile Bwana atawanyangʼanya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo, 19vipuli, vikuku, shela, 20vilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi, 21pete zenye muhuri, pete za puani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.