Isaya 3:17
Isaiah 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni; Bwana atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.”
Isaiah 3:17 in English
Isaiah 3:17 · Berean Standard Bible
the Lord will bring sores on the heads of the daughters of Zion, and the LORD will make their foreheads bare.*”
Context
15Mnamaanisha nini kuwaponda watu wangu
na kuzisaga nyuso za maskini?”
asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 16Bwana asema,
“Wanawake wa Sayuni wana kiburi,
wanatembea na shingo ndefu,
wakikonyeza kwa macho yao,
wanatembea kwa hatua za madaha,
wakiwa na mapambo ya njuga kwenye vifundo vya miguu yao. 17Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni;
Bwana atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.” 18Katika siku ile Bwana atawanyangʼanya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo, 19vipuli, vikuku, shela,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.