Isaya 3:11
Isaiah 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda.
Isaiah 3:11 in English
Isaiah 3:11 · Berean Standard Bible
Woe to the wicked; disaster is upon them! For they will be repaid with what their hands have done.
Context
9Nyuso zao zinavyoonekana zinashuhudia dhidi yao,
hujivunia dhambi yao kama Sodoma,
wala hawaifichi.
Ole wao!
Wamejiletea maafa juu yao wenyewe. 10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao,
kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao!
Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 12Vijana wanawatesa watu wangu,
wanawake wanawatawala.
Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha,
wanawapoteza njia. 13Bwana anachukua nafasi yake mahakamani,
anasimama kuhukumu watu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.