Native Bible

Isaiah 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu.

Isaiah 3:13 in English

Isaiah 3:13 · Berean Standard Bible

The LORD arises to contend; He stands to judge the people.

Context

11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 12Vijana wanawatesa watu wangu, wanawake wanawatawala. Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha, wanawapoteza njia. 13Bwana anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu. 14Bwana anaingia katika hukumu dhidi ya wazee na viongozi wa watu wake: “Ninyi ndio mlioharibu shamba langu la mizabibu, mali zilizonyangʼanywa maskini zimo nyumbani mwenu. 15Mnamaanisha nini kuwaponda watu wangu na kuzisaga nyuso za maskini?” asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.