Native Bible

Isaiah 3:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vijana wanawatesa watu wangu, wanawake wanawatawala. Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha, wanawapoteza njia.

Isaiah 3:12 in English

Isaiah 3:12 · Berean Standard Bible

Youths oppress My people, and women rule over them. O My people, your guides mislead you; they turn you from your paths.

Context

10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 12Vijana wanawatesa watu wangu, wanawake wanawatawala. Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha, wanawapoteza njia. 13Bwana anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu. 14Bwana anaingia katika hukumu dhidi ya wazee na viongozi wa watu wake: “Ninyi ndio mlioharibu shamba langu la mizabibu, mali zilizonyangʼanywa maskini zimo nyumbani mwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.