Native Bible

Isaiah 3:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao.

Isaiah 3:10 in English

Isaiah 3:10 · Berean Standard Bible

Tell the righteous it will be well with them, for they will enjoy the fruit of their labor.

Context

8Yerusalemu inapepesuka, Yuda inaanguka; maneno yao na matendo yao ni kinyume na Bwana, wakiudharau uwepo wake uliotukuka. 9Nyuso zao zinavyoonekana zinashuhudia dhidi yao, hujivunia dhambi yao kama Sodoma, wala hawaifichi. Ole wao! Wamejiletea maafa juu yao wenyewe. 10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 12Vijana wanawatesa watu wangu, wanawake wanawatawala. Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha, wanawapoteza njia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.