Native Bible

Isaiah 23:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neno kuhusu Tiro: Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, imeachwa bila nyumba wala bandari. Kuanzia nchi ya Kitimu* neno limewajia.

Isaiah 23:1 in English

Isaiah 23:1 · Berean Standard Bible

This is the burden against Tyre: Wail, O ships of Tarshish,* for Tyre is laid waste, without house or harbor. Word has reached them from the land of Cyprus.*

Context

1Neno kuhusu Tiro: Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, imeachwa bila nyumba wala bandari. Kuanzia nchi ya Kitimu* neno limewajia. 2Nyamazeni kimya, enyi watu wa kisiwani, pia ninyi wafanyabiashara wa Sidoni, ambao mabaharia wamewatajirisha. 3Kwenye maji makuu nafaka za Shihori zilikuja; mavuno ya Naili yalikuwa mapato ya Tiro, naye akawa soko la mataifa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.