Isaya 22:19
Isaiah 22:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitakuondoa kutoka kazi yako, nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako.
Isaiah 22:19 in English
Isaiah 22:19 · Berean Standard Bible
I will remove you from office, and you will be ousted from your position.
Context
17“Jihadhari, Bwana yu karibu kukukamata thabiti,
na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu. 18Atakuvingirisha uwe kama mpira
na kukutupa katika nchi kubwa.
Huko ndiko utakakofia,
na huko ndiko magari yako ya vita ya fahari yatabakia,
wewe unayeifedhehesha nyumba ya bwana wako! 19Nitakuondoa kutoka kazi yako,
nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako. 20“Katika siku ile, nitamwita mtumishi wangu, Eliakimu mwana wa Hilkia. 21Nitamvika joho lako, nami nitamfunga mshipi wako kiunoni mwake, na kumkabidhi mamlaka yako. Yeye atakuwa baba kwa wale wanaoishi Yerusalemu na kwa nyumba ya Yuda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.