Native Bible

Isaiah 10:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Madmena inakimbia; watu wa Gebimu wanajificha.

Isaiah 10:31 in English

Isaiah 10:31 · Berean Standard Bible

Madmenah flees; the people of Gebim take refuge.

Context

29Wanavuka kivukoni, nao wanasema, “Tutapiga kambi huko Geba usiku kucha.” Rama inatetemeka; Gibea ya Sauli inakimbia. 30Piga kelele, ee Binti Galimu! Sikiliza, ee Laisha! Maskini Anathothi! 31Madmena inakimbia; watu wa Gebimu wanajificha. 32Siku hii ya leo watasimama Nobu; watatikisa ngumi zao kwa mlima wa Binti Sayuni, kwa kilima cha Yerusalemu. 33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, atayakata matawi kwa nguvu kuu. Miti mirefu sana itaangushwa, ile mirefu itashushwa chini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.